Vanilla: zao lenye ladha maarufu na ghali duniani
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-01-10
Просмотров: 3057
Описание:
Zao la vanilla limekuwa likileta neema kwa mamia ya wakulima katika mkoa wa Kilimanjaro Tanzania.
.
Ni moja ya zao ghali linalowanufaisha wakulima hao lakini wanasema sasa changamoto kubwa ni pamoja na kushuka kwa bei ya zao hilo.
.
Mwandishi wa BBC David Nkya amezungumza na mmoja wa wakulima wa zao hili na kuangalia namna inavyotayarishwa kuanzia shambani hadi kufikia hatua ya kuwa kimiminka .
#bbcswahili #tanzania #kilimanjaro
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: