FEITOTO MAN OF THE MATCH CHAN
Автор: tmedia One
Загружено: 2025-08-17
Просмотров: 179
Описание:
Feisal Salum Abdallah, anatambulika kama Fei Toto, Alizaliwa Januari 11 1998, Ni mtanzania anayecheza mpira wa kulipwa. Anacheza kama midfielder kwenye Tanzanian Premier League, Kwasasa anacheza kwenye club yta Azam FC na kwa timu ya taifa ni Tanzania na Zanzibar national teams.
Jina lake kamili ni Feisal Salum Abdallah, AlizaliwaJanuari 11, 1998 umri wake ni 27), Alizaliwa Zanziba, Urefu 1.78 m (5 ft 10 in), Nafasi yake ni Midfielder, Mwaka 2016–2018 alichezea JKU . Mwaka 2018–2022 alichezea Young Africans, na alifunga magori (32) Mwaka 2023 alichezea Azam F.C na alifunga magori (24)
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: