Jeshi la polisi Arusha limelazimika kutumia mabomu ya machozi kutawanya wanafunzi.
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2013-04-24
Просмотров: 17383
Описание: Jeshi la polisi mkoa wa Arusha limelazimika kutumia nguvu na mabomu ya machozi kuwatawanya maelfu ya wanafunzi wa chuo cha uhasibu Arusha kwa kufanya vurugu na kuwakamata baadhi ya wanafunzi pamoja na wakili maarufu Albert Msando huku mbunge wa Arusha Goodbless Lema anatafutwa kwa tuhuma za kuwachochea wanafunzi hao kufanya fujo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: