MSHTUKO UKONGA! Chadema Yatishia Hatua Kali Baada ya Lissu Kunyimwa Haki Gerezeni
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2025-12-25
Просмотров: 17647
Описание:
MSHTUKO UKONGA! Chadema Yatishia Hatua Kali Baada ya Lissu Kunyimwa Haki Gerezeni
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Jeshi la Magereza, kikidai limekiuka haki za msingi za Mwenyekiti wake, Tundu Antipas Lissu, anayeshikiliwa Gereza Kuu la Ukonga. Miongoni mwa madai ni kunyimwa haki ya kukutana na mawakili wake kwa faragha, jambo linalodaiwa kuwa kinyume cha Katiba na sheria. Tazama uchambuzi kamili na maoni ya kisheria.
🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania!
👍 LIKE na SHARE video hii na marafiki zako.
📺 harakatitv
• Uchambuzi wa Siasa:
• Breaking News:
• Ripoti za Maoni:
#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #chadema #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: