Afisa mmoja wa polisi auwawa, wengine watatu wajeruhiwa katika shambulio la bunduki Musanda Kakamega
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 8402
Описание: Hali ya taharuki imetanda katika eneo la musanda kaunti ya Kakamega baada ya watu waliokuwa na bunduki kuvamia kituo cha polisi cha Nyalenya, kumuua afisa mmoja wa polisi na kuwaacha watu wengine watatu na majeraha ya risasi. Genge la watu sita waliwasili katika kituo hicho wakidai pikipiki yao ilikuwa imeibwa, dakika chache baadaye waligeuka na kuwamiminia risasi askari watatu na mke wa mmoja wa maafisa hao kabla ya kuiba bunduki mbili aina ya g3 na risasi 40
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: