Kwanini unatoa sadaka lakini maisha yanazidi kuwa magumu
Автор: Lawi Mshana
Загружено: 2024-03-09
Просмотров: 176
Описание:
Unajua kwamba unaweza kuendelea kuteswa na madhabahu ambazo ulikuwa umejiunganisha nazo awali kwa sadaka zako hata kama umegundua uovu wao na kuamua kuhama dhehebu? Unajua kwamba unatakiwa kupanda mbegu na sio mavuno? Unajua kwamba huwezi kuvuna mazao ambayo hujapanda mbegu yake? Fuatilia ujumbe huu!
Unaweza kuupata kwa maandishi katika Blog au App kupitia link hii https://www.appcreator24.com/app25842...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: