46. BigInt Operators Kwenye JavaScript Kwa Kiswahili
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2025-10-21
Просмотров: 35
Описание:
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutumia BigInt operators kwenye JavaScript kwa mfano wa vitendo.
Tutajadili Arithmetic, Comparison, na Bitwise operators zinazofanya kazi na BigInt.
Pia utajua nafasi ya BigInt dhidi ya Number na tips muhimu za kuepuka makosa kwenye mahesabu makubwa.
💬 Usisahau kulike, ku-comment, na kusubscribe kwa mafunzo zaidi ya JavaScript kwa Kiswahili!
⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐
🎥 Karibu sana kwenye Channel yangu! 🎥
Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu:
🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
…na mengine mengi ya kuvutia! 🎉
📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maarifa. Naamini kuwa kila mmoja ana uwezo wa kufikia malengo yake 💪.
🌟 Kumbuka kujiunga nasi! 🌟
👉 Bonyeza kitufe cha Subscribe ili upate video mpya kila mara
👉 Washa kengele 🔔 ili usipitwe na taarifa mpya
🔗 Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii kwa updates zaidi:
📱Jiunge na Whatsapp Group letu:
https://chat.whatsapp.com/JNKq7IDzVcU...
📱 WhatsApp Channel: https://whatsapp.com/channel/0029Vadg...
📱 Telegram Channel: https://t.me/mohamedhafidh_tz
📸 Instagram: / mohamedhafidh_tz
🎥 TikTok: / mohamedhafidh_tz
📺 YouTube: / @mohamedhafidh255
Asante kwa kuwa sehemu ya community yangu! Tunajifunza na kukua pamoja! 🙏
#javascript #bigInt #swahilitutorials
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: