MBEGU YA KISASA YA MAPAPAI (MALKIA)
Автор: KILIMOSHARE
Загружено: 2018-01-04
Просмотров: 58479
Описание:
Video imedhamiria kuelezea juu ya mbegu ya kisasa ya mapapai aina ya Malkia, imeandaliwa na wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA) idara ya Uhandisi, Extension Group 1. Lengo kuu ni kumsaidia mkulima kukuza kipato kupitia mavuno mengi na bora kutoka kwa mbegu ya kisasa ya Malkia.
NI MATUMAINI YETU VIDEO HII ITAKUSAIDIA NDUGU MTAZAMAJI KUKUZA UELEWA JUU YA KILIMO CHA PAPAPI KWA KUTUMIA MBEGU YA KISASA.
Kwa maelezo zaidi waweza wasiliana nasi kupitia:
Tel: 0713-053032, 0743-204005
Email: [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: