Tundu Lissu anabaguliwa-Vincent Lissu
Автор: MwanaHALISI TV
Загружено: 2017-12-29
Просмотров: 3796
Описание:
BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linadaiwa kumbagua Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu kwa kilichodaiwa ni kutokana na Spika wa bunge hilo, Job Ndugai kutofika Hospitali aliyolazwa Mbunge huyo au kutuma hata kiongozi wa bunge pamoja na kutopewa uangalizi akiwa kama Mbunge.
Akizungumza na MwanaHALISI Online, Vincent Mughwai Mdogo wa Tundu Lissu amesema kuwa kama mwanafamilia amesikitishwa sana na hatua hiyo ya bunge ambalo ndio ofisi ya kaka yake.
usisahau kusubscribe channel yetu ili kupata taarifa mbalimbali kwa haraka zaidi.
http://mwanahalisionline.com/
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: