| NYAYO ZA MEKATILILI | Mekatilili wa Menza aliongoza Wapwani kupinga ukoloni
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2019-12-12
Просмотров: 17988
Описание:
Ni miaka 56 sasa tangu Kenya kuwa jamhuri na taifa halijasahau mashujaa walionyakua utawala kutoka kwa muingereza. Katika ukanda wa pwani, hususan jamii ya wagiryama, mekatilili wa menza anaenziwa kwa kueneza jumbe za kumfurusha mkoloni kwa ngoma.
#Jamhuri #MekatililiWaMenza
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: