OSAMA ALABI KOROSHO AMTANGAZIA VITA YA ULINGO ALLY MSAMBAA WA MOROGORO PAMBANO LA "HOMA YA SGR"
Автор: JEMEDARI TV
Загружено: 2024-08-27
Просмотров: 415
Описание:
Bondia Osama Arabi Kutoka Mkoani Mtwara Aliyeweka Kambi Mazense Dar es salaam Ametuma Salam Za Vitisho Dhidi Ya Mpinzani wake Ally Msambaa Wa Morogoro Kuelekea Pambano La "Homa Ya SGR" Oktoba 26,2024.
Akizungumza Akiwa Sifa Boxing Gym Mazenze Jijini Dar es salaam Wakati Akiendelea na Maandalizi Ya Pambano Hilo Amesema Licha Ya Kutopanda Ulingoni Mda Mrefu Ana waahidi Mashabiki Na Wadau wa Masumbwi Tanzania Kuwapa Burudani Iliyojaa Ufundi Na Utaalam Wa Mchezo Huo Huku Akijinasibu kuibuka na ushindi wa Kishindo Siku Hiyo.
Watanzania Kushuhudia Burudani Ya Mchezo Wa Masubwi Wenye Lengo La Kuunga Mkono Juhudi Za Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Katika Kutambua Mchango Wa Maendeleo Ya Nchi Kupitia Mchezo Wa Ngumi Tanzania siku ya Oktoba 26,2024 Mjini Morogoro.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: