MATOKEO YA UCHAGUZI BUCHOSA NA SENGEREMA / SHIGONGO APENYA. BUCHOSA TABASAMU KICHEKO SENGEREMA.
Автор: CLOUDS HABARI
Загружено: 2025-08-06
Просмотров: 856
Описание:
SHIGONGO APENYA. BUCHOSA TABASAMU KICHEKO SENGEREMA.
Baada ya wajumbe wa chama cha mapinduzi (ccm) kupiga kura za maoni kuchagua viogozi ambao watakwenda kupitishwa na kamati kuu ya chama hicho kupeperusha bendera ya chama hicho kwa nafasi ya Mbunge na Diwani.
Jimbo la Sengerema mkoa wa Mwanza,mgombea. Hamissi Tabasamu ameibuka kidedea kwa kura 10.718. huku anaye mfatia ni Wiliamu Ngeleja ambaye amepata kura 1.477.
Jimbo la Buchosa Halimashauri ya Buchosa mkoa wa Mwanza aliye kuwa Mbunge wa jimbo hilo. Eric Shigongo ame penya tena katika kura za maoni ccm kwa kupata kura .6,450 anaye mfatia ni Charles Tizeba.amepata kura 4,562.
akitangaza matokeo hayo katibu wa chama cha mapindizi ccm wilaya Sengerema Rashidy Semindu Pawa .amesema uchanguzi katika majimbo hayo umeenda kwa amani na wajumbe wamechagua watu wa naowataka wataka wao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: