SERIKALI IMEFANYA JAMBO KUBWA KUHUSU CHW
Автор: ELIMU YA AFYA ONLINE TV
Загружено: 2025-01-07
Просмотров: 376
Описание:
"Naishukuru sana Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha kufanikisha Mpango Jumuishi wa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii uliozinduliwa tarehe 31, Januari, 2024 na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ambapo sasa Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii wanapata mafunzo katika vyuo mbalimbali vya afya katika mikoa 11 na halmashauri 23 za mwanzo katika kuhakikisha Watanzania wanakuwa na afya bora"
Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Lishe kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI Bw. Luitfrid Nnally wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo Mkoani Morogoro ya kuwajengea uwezo Wakufunzi kutoka vyuo vya Afya (HTis) vinavyotoa Mafunzo ya Wahudumu wa Afya Ngazi ya Jamii pamoja na Waratibu wa Mikoa 12 na Halmashauri 25 kuhusu kitabu cha Mtua Namba 3
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: