ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Автор: Ubongo Kids Kiswahili

Загружено: 2021-08-14

Просмотров: 291111

Описание: Kwenye kipindi hiki, Kibena anaonyesha ujasiri kwa kushiriki habari na marafiki zake.

Tuma ujumbe na neno UTU kwenda +12349001234 kwa whatsapp ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kuanzisha na kujiunga na kilabu cha UTU katika jamii yako.

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.

Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

https://www.ubongokids.com
  / ubongokids  
  / ubongotz  

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Imewezeshwa na Templeton World Charity Foundation.

#UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu #UTU

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
WEBISODE 73: Mimi ni yule yule | Ubongo Kids Utu: Ujasiri | Katuni za Kiswahili

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WEBISODE 74: Nguvu ya uvutano (unaweza kujifunza popote) | Utu: Shukrani | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 74: Nguvu ya uvutano (unaweza kujifunza popote) | Utu: Shukrani | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 64: Tufike Pamoja |  Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 64: Tufike Pamoja | Utu: Uwajibikaji na Ushirikiano wa Kijamii | Katuni za Kiswahili

Влад и Ники помогают своим друзьям - лучшие сказки для детей

Влад и Ники помогают своим друзьям - лучшие сказки для детей

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kujumlisha kwa Kubeba: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Kibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili.mp4

Kibena! Kiduchu! Amani! | Wasichana wa Ubongo Kids | Katuni za Elimu kwa Kiswahili.mp4

Маша  и Медведь - 💥 НОВАЯ СЕРИЯ! 🛩️ Что внутри? 🐧 🌟 Коллекция мультиков

Маша и Медведь - 💥 НОВАЯ СЕРИЯ! 🛩️ Что внутри? 🐧 🌟 Коллекция мультиков

Usiwe na Hasira! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

Usiwe na Hasira! | Akili and Me | Katuni za Elimu kwa Watoto

Маша и Медведь - С чего все начиналось? 🎄 За праздничным столом с Машей 🎉

Маша и Медведь - С чего все начиналось? 🎄 За праздничным столом с Машей 🎉

WEBISODE 63: Naona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za Kiswahili

WEBISODE 63: Naona Tunu | Ubongo Kids Utu: Watuunganisha Sote | Katuni za Kiswahili

Kengele ya miujiza | The Magic Bell Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

Kengele ya miujiza | The Magic Bell Story in Swahili | Swahili Fairy Tales

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

WEBISODE: Leo kwa ajili ya kesho | Msimu mpya wa Ubongo Kids | Katuni za Kiswahili

Tuendeshe Baiskeli! | Nyimbo za Akili and Me | Katuni za Kuelimisha

Tuendeshe Baiskeli! | Nyimbo za Akili and Me | Katuni za Kuelimisha

Маша и Медведь - 🏡 Осторожно, ремонт! 🤣🔨 Сборник 18 🎬  30 минут

Маша и Медведь - 🏡 Осторожно, ремонт! 🤣🔨 Сборник 18 🎬 30 минут

TOM VE JERRY | Çifte Kovalamaca | #YENİ ŞOV | @cartoonnetworkturkiye

TOM VE JERRY | Çifte Kovalamaca | #YENİ ŞOV | @cartoonnetworkturkiye

Usalama Barabarani Na Ubongo Kids |  Tufike Pamoja | Swahili Version

Usalama Barabarani Na Ubongo Kids | Tufike Pamoja | Swahili Version

Ubongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya Mwili

Ubongo Kids Webisode 33 | Mechi Mwilini - Mifumo ya Mwili

Vipimo: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Vipimo: Misingi ya Hisabati | Compilation ya Ubongo Kids | Katuni za Watoto

Episode 56: Akili na rafiki zake sokoni | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

Episode 56: Akili na rafiki zake sokoni | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

Маша и Медведь 🐯 Маша и Друзья! 👧СБОРНИК Лучшие мультики про дружбу 🐷 🐼

Маша и Медведь 🐯 Маша и Друзья! 👧СБОРНИК Лучшие мультики про дружбу 🐷 🐼

Ubongo  Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za Kiswahili

Ubongo Kids Webisode 43 - Mfumo wa Jua | Katuni za Kiswahili

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]