SIRI MUJARABU YA SURAH HII KATIKA KUPITA MITIHANI NA KUPATA ALAMA ZA JUU | Mohamed Alidini
Автор: Mohamed Alidini
Загружено: 2024-08-17
Просмотров: 4349
Описание:
SIRI MUJARABU YA SURAH HII KATIKA KUPITA MITIHANI NA KUPATA ALAMA ZA JUU | SIRI ZA QURAN TUKUFU | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri ya Surah, Ayah na Dua hizi katika kukuwezesha kufaulu na kupata alama za juu katika mitihani yako ya masomo kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
----------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah: AL-BAQARAH, AT-TAWBAH NA AL-JINN
Ayah: 128 NA KAMILI
-----------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Kuwa na Udhu
Elekea Qibla na usome Surah, Ayah na Dua zifuatazo:
آية الكرسي.
لَقَدْ جَآءَكُمْ رَسُولٌۭ مِّنْ أَنفُسِكُمْ عَزِيزٌ عَلَيْهِ مَا عَنِتُّمْ حَرِيصٌ عَلَيْكُم بِٱلْمُؤْمِنِينَ رَءُوفٌۭ رَّحِيمٌۭ ١٢٨
سورة الجن.
)اللَّهُمَّ اجْعَلْ لِي حَظًّا مِنَ الصَّلَاة ِعَلى مُحَمَّدٍ وَآلِ مُحَمَّدٍ، اللَّهُمَّ اجْعَلْ لِي فَرَجًا مِنَ الصَّلَاة ِعَلى مُحَمَّدٍ وَآلِ مُحَمَّدٍ، اللَّهُمَّ اجْعَلْ لِي نَصَرًا مِنَ الصَّلَاة ِعَلى مُحَمَّدٍ وَآلِ مُحَمَّدٍ).
(يَا صَمَدُ أَنْتَ ثِقَتِيْ وَرَجَائِيْ يَا صَمَدُ).
Waweza ifanya hii faida mara 1, 2, 3, 4, 5, n.k. Nafasi na uwezo wako.
------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
----------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
**********************************************************************
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: