UKIONA DALILI HIZI, JUA UMECHOKWA KIMYAKIMYA!
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-10-25
Просмотров: 6806
Описание:
"Unajua kitu kibaya zaidi kuliko kuachwa? Ni kuchokwa kimya kimya, halafu unaendelea kudhani kila kitu kiko sawa"
Wakati mwingine hatuambiwi tumechokwa, tunahisi tu…
Katika video hii nazungumza kuhusu dalili 4 za kuchokwa kimyakimya — zile ndogo ndogo ambazo mara nyingi tunazipuuzia, hadi tunajikuta tumeachwa kiroho kabla hata ya kuambiwa maneno.
💬 Share video hii na mtu ambaye anapitia hali kama hii.
🔔 Subscribe kwa zaidi ya content za maisha, uhusiano, na kujitambua.
#DaliliZaKuchokwa #Uhusiano #RealTalk #LifeLessons
💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media
⚠️ Angalizo: Maudhui haya yamelenga kutoa elimu ya jumla kwa jamii pana. Ni jukumu la mtu binafsi kufanyia kazi mbinu zinazoendana na muktadha wake.
......................................................
Session Credits: Dr. Chris Mauki
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: