SIRI ADHIMU NA MUJARABU ZA AYAT AL-KURSY ZITAKAZO BADILISHA MAISHA YAKO - (S-3) | Mohamed Alidini
Автор: Mohamed Alidini
Загружено: 2021-10-11
Просмотров: 6627
Описание:
SIRI ADHIMU NA MUJARABU ZA AYAT AL-KURSY ZITAKAZO BADILISHA MAISHA YAKO - (SEHEMU 3) | Mohamed Alidini
Katika video hii tunaelezea Siri za Ayat Al-Kursy zitakazo badilisha maisha yako kwa uwezo wa Allah (SWT). Hii ni Siri kubwa kwa kuwa inafungamana na Quran ambayo ni kitabu cha Allah (SWT) kisichokuwa na shaka yoyote. Ni matumaini yangu kuwa utafuata maelezo yake ili uweze kufikia malengo yako yote.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Maelezo yake:
Surah: AL-BAQARAH
Ayah: 255 (AYAT AL-KURSY)
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Utaratibu wake:
Kuwa na Yaqeen kuhusu siri na faida za Qur’an Tukufu
Fuata utaratibu wa kila faida iloelezewa ndani ya video hii ili ufaidike.
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Shukran kwa kujisajili Channel yangu!
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Copyright Notice:
► Every content we made are licensed to our channel.
► All audios, videos and images are copyrighted and fully licensed.
► Elements used in this video are edited by us are copyrighted and fully licensed.
► So, you do not have permission to use or reupload our content without our permission.
Copyright © 2024 Mohamed Alidini. All rights reserved.
*********************************************************************************
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: