KKU T, TISTA & EDK Wakutana Makambako | Mahojiano Maalum ya Kikao
Автор: Masjid taqwa tv Makambako
Загружено: 2026-02-08
Просмотров: 36
Описание:
Assalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh.
Video hii inaonesha mahojiano maalum yaliyofanyika baada ya kikao/semina ya KKU T (Kamati ya Kuendeleza Uislamu Tanzania) kwa kushirikiana na TISTA pamoja na EDK.
Kikao hiki muhimu kilifanyika katika Masjid Taqwa, ambapo kulikuwa na ugeni kutoka Taifa, Iringa, Ruvuma, pamoja na wenyeji wa Mkoa wa Njombe.
Kupitia mahojiano haya, washiriki wanazungumzia:
Lengo na umuhimu wa kikao/semina
Mikakati ya kuendeleza Uislamu na elimu
Ushirikiano wa taasisi za Kiislamu ngazi ya taifa na mikoa
Ujumbe kwa Waumini na jamii kwa ujumla
📌 Tunaomba uendelee kufuatilia, ku-like, ku-comment na kusubscribe ili kuendelea kupata taarifa na maudhui yenye manufaa kwa Umma wa Kiislamu.
Allah awalipe wote walioshiriki na kufanikisha kikao hiki.
Aamiin 🤲
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: