MISA YA MAASKOFU KUTOKA BARAZA LA
Автор: 𝐓𝐀𝐋𝐄𝐍𝐓𝐄𝐃 𝐌𝐔𝐒𝚰𝐂𝚰𝐀𝐍𝐒 𝐎𝐑𝐆𝐀𝐍𝚰𝐙𝐀𝐓𝚰𝐎𝐍 𝄞
Загружено: 2023-05-18
Просмотров: 12108
Описание:
KARIBU KUTAZAMA VIDEO HII
AMBAPO:-
✓Maaskofu kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Wakiwa katika Basilika ya Yohana Laterano mjini Vatican.
✓Misa Takatifu imeadhimishwa na +Mhashamu Isaac Amani, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha.
✓Ikumbukwe Maaskofu wote nchini Tanzania wako katika ziara ya Kichungaji yalipo makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani mjini Vatican tangu May 14 hadi May 21, 2023.
✓Pia katika ziara hiyo wameambatana na Mapadre kadhaa akiwemo Padre Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Padre Chesco Msaga C.PP.S Naibu Katibu Mkuu (TEC) bila kumsahau Padre Thomas Kiangio Msimamizi wa kitume wa Jimbo Katoliki Tanga.
#kanisakatoliki #TEC #Maaskofu
#vatican @breezonlinetv #breezonlinetv
#KwayaYaMtakatifuCecilia #stefanoshahidikipawa #kwayayamttheresiamaruku8296 #yosephmfanyakaziruandambeya #kwayayamt.papayohanepaulow9232 #kwayayamtsesiliarucu6436 #kwayayamtcesiliaudom3999 #kwayayawat.mashahidiwaugan4783 #kwayamtgregorymkuubariadi-1940 #kwayayawat.mashahidiwaugan4783 #kwayayafamiliatakatifu-mwe7140 #kmkmakuburi #KwayaYaMtSeciliaMakuburi #JugoMedia #apebanotetz #tanganyikaproductions #stGasparMajorSeminary #staugustinechoirsaut-mwan4936 #stmauruschemchemisecondar2464 #stcatherineofsiena8827 @St319Entertainment #Stedg-wb9ny #heavenlymusicproduction4360 #Professorlive #rajopro #thegalaxypro #patiulazarus #jmn1821 #TBC_Online #azamtvtz #ITVNews #millardayoTZA #givenjm6513 @kingdavidorganist9443 #charityproductions3960 #OrganistjamesKtZ #heavenlymusicproduction4360 #musicheals1545 #franciskamaka454
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: