Na Kushukuru Eee Bwana - Chorale Lavigerie Bukavu
Автор: Vami Wa Malengera
Загружено: 2015-06-21
Просмотров: 233601
Описание:
Na Kushukuru Eee Bwana - Chorale Lavigerie Bukavu
Paroles *
R) Nakushukuru ee Bwana
Kwa mema yote unayo nitendeya katika maisha yangu. (2X)
1. Tangu utoto wangu
Ume nipenda sana
Uka nipa uzima
Tena uka nilinda.
Shukurani kwako ee bwana Mungu wangu
2. Bwana ni mwanga wangu
Tena mchungaji wangu
Hata napata magumu
Sita ogopa kitu.
Shukurani kwako ee bwana Mungu wangu
3. Ume tuondolea
kwa kifo cha mwokozi
Aka kufa msalabani
Kwa ajili ya watu.
Shukurani kwako ee bwana Mungu wangu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: