TUNALIOMBA JESHI LIJE KULINDA MWAMBA WETU /WAVUVI SONGOSONGO.
Автор: Unyakyusani Online TV
Загружено: 2022-07-20
Просмотров: 110
Описание:
Wavuvi wa kisiwa cha Songosongo wilayani Kilwa mkoani Lindi,wanashukuru kwa elimu ya uhifadhi wa mwamba darasa waliyopatiwa nakuiomba serikali kuwaongezea ulinzi wa jeshi la wanamaji(nevyarmy) ili kudhibiti upotevu wa pweza katika mwamba wao wanao uhifadhi kila baada ya miezi mitatu kwa mwaka.
• TUNALIOMBA JESHI LIJE KULINDA MWAMBA WETU ...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: