Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Atinga Dodoma akitokea Mwanza
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2021-06-09
Просмотров: 1854
Описание:
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philipo Isdor Mpango amewasili jijini Dodoma akitokea jijini Mwanza alipotua akitokea Nchi ya Burundi kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja Tangu kufariki kwa aliyekuwa Rais wa Burundi Pieree Nkurunzinza.
Katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza alisindikizwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mwanza Ikiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila na katika jiji la Dodoma alipokelewa na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Dodoma akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa huo Anthony Mtaka.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: