ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

HOJA ILIYOKUFA YA MH.ZITTO VS DR.MAGUFULI NA UPOTEVU WA TSH 252 BILION

Автор: Kagoma Bugwingili

Загружено: 2013-08-26

Просмотров: 51921

Описание: Zitto alipomtuhumu Waziri wa Ujenzi Dr.Magufuli kwa upotevu wa Tsh 252 Bilioni


Zitto Kabwe alimtuhumu Waziri wa Ujenzi Dr. Magufuli kwa upotevu wa Tsh 252 Bilioni. Baada ya Zito kutaka kutoa hoja ya kutoa shilingi ya mshahara wa Magufuli, Naibu Spika Ndugai akutoa ufafanuzi kuwa Zito ni Mwenyekit wa PAC, swala hili litaongelewa kati mikutano hiyo ya PAC.

Ufafanuzi wa Wizara ya Ujenzi:


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI



TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Yah: USAHIHI WA MATUMIZI YA KASMA MAALUM YAUJENZI WA MIRADI YA BARABARA NCHINI SHS. 252,975,000,000.00


Tarehe 22/08/2013, Wizara ya Ujenzi ilikutana na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kwa ajili ya kujadili Hesabu zilizokaguliwa za Fungu 98 kwa mwaka wa fedha wa 2011/2012. Kikao hicho kilifanyikia katika Ofisi Ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam chini ya Uenyekiti wa Mhe. Gaudence Cassian Kayombo Mbunge wa Mbinga Mashariki, ambaye alitoa maamuzi na maelekezo rasmi ya Kamati.

Katika kikao hicho hoja kadhaa zilijadiliwa ikiwamo hoja kuhusu Matumizi ya Kasma Maalun ya Ujenzi wa Miradi ya Barabara nchini ambayo ilitengewa kiasi cha Shs. 252,975,000,000.00.

Katibu Mkuu (Afisa Masuhuli) wa Wizara ya Ujenzi alikiarifu kikao hicho kuwa fedha za Mradi huo Maalum zilitumika kwa ajili ya kulipia madai ya Makandarasi na Wahandisi Washauri kwa miradi ya ujenzi wa barabara inayoendelea katika mipango na bajeti ya Serikali. Katika ujenzi wa barabara; jukumu la msingi kwa Wizara ni kulipa madai ya Makandarasi na Wahandisi Washauri.

Aidha, alifafanua kwamba Mradi huu umekuwa na matokeo mazuri kwani ulifanikisha shughuli za ujenzi wa barabara nchini. Afisa masuhuli aliendelea kufafanua kwamba mradi huu wa barabara haukuwa mradi kivuli bali ulikuwa ni mradi maalum kwa lengo la kufanikisha programu ya barabara na maendeleo ya wananchi kwa ujumla.

Tarehe 22/08/2013 na tarehe 23/08/2013 zimetolewa taarifa za upotoshaji na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu ukweli wa suala hili ambapo baadhi ya vyombo hivyo vilinukuliwa kusema kuwa kumekuwepo na ufisadi, matumizi tata na ubadhirifu katika mradi huu.

Wizara inapenda kuudhibitishia umma kwamba katika utekelezaji wa mradi huu hapakuwepo na ufisadi, ubadhilifu, au matumizi tata.

Ukweli huu umethibitishwa kwa maandishi na Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwamba hoja ya ukaguzi huu haikuhusu ubadhirifu au matumizi mabaya yoyote ya fedha bali ni suala la uandishi wa vitabu vya fedha uliohitaji kuboreshwa.

Wizara ya Ujenzi inapenda kutoa ufafanuzi huu na kuudhibitishia tena umma kwamba hakuna upotevu wowote wa fedha kama ambavyo baadhi ya vyombo vya habari vimetaka ieleweke.

Taarifa hii imetolewa na;

Balozi Herbert E. Mrango
KATIBU MKUU (AFISA MASUHULI)
WIZARA YA UJENZI

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
HOJA ILIYOKUFA YA MH.ZITTO VS DR.MAGUFULI NA UPOTEVU WA TSH 252 BILION

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

"MKURUGENZI UPO KITAMBI KIKUBWA WATOTO WANAKAA CHINI" MAGUFULI AMBANA DC, MTOTO AMSHANGAZA

ArmComedy 1376 - Բռնագանձված փոսեր

ArmComedy 1376 - Բռնագանձված փոսեր

МЕССИ ЗАСТАВИЛ БЕРНАБЕУ И ПОКАЗАЛ CR7, КТО КОЗЛ В НЕЗАБЫВАЕМОМ ЭЛЬ-КЛАССИКО

МЕССИ ЗАСТАВИЛ БЕРНАБЕУ И ПОКАЗАЛ CR7, КТО КОЗЛ В НЕЗАБЫВАЕМОМ ЭЛЬ-КЛАССИКО

TAZAMA MUSUKUMA ALIVYOCHALAZA KISUKUMA MBELE YA RAIS MAGUFULI JIMBONI KWAKE

TAZAMA MUSUKUMA ALIVYOCHALAZA KISUKUMA MBELE YA RAIS MAGUFULI JIMBONI KWAKE

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013

Запрещенное интервью маршала Жукова

Запрещенное интервью маршала Жукова

MAGUFULI AWAVAA WABUNGE WA CHADEMA WALIOKIMBIA BUNGE

MAGUFULI AWAVAA WABUNGE WA CHADEMA WALIOKIMBIA BUNGE "NI UDHAIFU, WAOGA NA KUTOJIAMINI"

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Rais Magufuli ataja sababu ya 'kumtumbua' Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU (07/09/2018)

Rais Magufuli ataja sababu ya 'kumtumbua' Mkurugenzi Mkuu TAKUKURU (07/09/2018)

Maneno ya Wakenya baada ya Rais Magufuli kuwasili

Maneno ya Wakenya baada ya Rais Magufuli kuwasili

‘Ujana’ wa Kikwete wamshangaza Rais Magufuli

‘Ujana’ wa Kikwete wamshangaza Rais Magufuli

Час Пик 1994 (21.07.1994)

Час Пик 1994 (21.07.1994)

Rais Magufuli akemea ukabila Kenya

Rais Magufuli akemea ukabila Kenya

Kitu Zitto Kabwe ameongea mbele ya Rais Magufuli Kigoma

Kitu Zitto Kabwe ameongea mbele ya Rais Magufuli Kigoma

😮ФЕЙГИН: ЭТО ВЗРЫВ! Путин СКРЫВАЛ ЭТО про “СВО”! Кремль ОТПРАВИЛ КИЛЛЕРОВ в Украину?

😮ФЕЙГИН: ЭТО ВЗРЫВ! Путин СКРЫВАЛ ЭТО про “СВО”! Кремль ОТПРАВИЛ КИЛЛЕРОВ в Украину?

Rais Magufuli ambananisha Mhandisi wa Maji Njombe.

Rais Magufuli ambananisha Mhandisi wa Maji Njombe.

Жириновский ещё в 2006 о судьбе Украины

Жириновский ещё в 2006 о судьбе Украины

БУМ! РЕАЛ МАДРИД ОПОЗОРИЛСЯ ПРОТИВ ОСАСУНЫ! ФАНАТЫ ВЫГОНЯЮТ МБАППЕ / Доза Футбола

БУМ! РЕАЛ МАДРИД ОПОЗОРИЛСЯ ПРОТИВ ОСАСУНЫ! ФАНАТЫ ВЫГОНЯЮТ МБАППЕ / Доза Футбола

Жириновский на украинском ТВ: Свобода слова

Жириновский на украинском ТВ: Свобода слова

Magufuli na Athari za Mafuriko Katika Jiji la Dar es Salaam Part Two

Magufuli na Athari za Mafuriko Katika Jiji la Dar es Salaam Part Two

© 2025 ycliper. Все права защищены.



  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности



Контакты для правообладателей: [email protected]