WATANO WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA "WALIMUUWA DR.MVUNGI, MJUMBE WA KATIBA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-09-18
Просмотров: 31670
Описание:
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imewahukumu kunyongwa hadi kufa Watu watano baada ya kutiwa hatia kwa makosa ya kumuua aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Dk.Sengondo Mvungi.
Hukumu hiyo inakuja ikiwa ni miaka 7 tangu watu hao wafikishwe kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Waliohukumiwa ni Msigwa Matonyaz Mianda Saluwa, Paulo Mdondono, Longishu Losingo na John Mayunga.
Pia Mahakama hiyo imemuachia huru Juma Kang'ungu baada ya upande wa mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka dhidi yake
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: