Dalili 5 za Akili ya Juu Sana Ambazo Watu Wengi Hawazijui (Saikolojia Yaeleza)
Автор: Umewahi Kuwaza
Загружено: 2026-01-25
Просмотров: 102
Описание:
Je, wewe ni mtu anayependa kufikiri kwa kina, kujihoji sana, au unajikuta ukichoka na mazungumzo ya kawaida?
Saikolojia inaeleza kuwa hizi zinaweza kuwa dalili za akili ya juu sana ambazo watu wengi hawazijui.
Katika video hii, utajifunza:
Dalili 5 za watu wenye akili ya juu sana
Kwa nini watu wanaopenda kufikiri sana hupendelea upweke
Uhusiano kati ya akili ya juu na huruma (empathy)
Sababu kwa nini akili kali haionekani kwa macho
Ukweli wa kisaikolojia kuhusu watu wanaochoka na “small talks”
Video hii ni kwa ajili ya:
✔️ Watu wanaopenda kufikiri
✔️ Watu wa motivational mindset
✔️ Wanaopenda psychology
✔️ Vijana wanaotaka kujielewa zaidi
📌 Kama umejiona kwenye dalili hata moja, andika COMMENT.
👍 LIKE
🔔 SUBSCRIBE
📤 SHARE na mtu anayependa kufikiri kama wewe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: