Syria yajiunga na Marekani kupambana na IS. Je, Maoni ya Wachambuzi ni yapi kuhusu hilo?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-11-15
Просмотров: 3675
Описание: Syria imejiunga na muungano wa kimataifa unaoongozwa na Marekani kupambana na kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS. Je, huu n i mwanzo mpya wa siasa za Syria au ni njia nyingine ya Marekani kuimarisha ushawishi wake Mashariki ya Kati? Hayo na mengine mengi ni kwenye kipindi cha Maoni Mbele ya Meza ya Duara. Nahodha wa Zamu ni Josephat Charo. #dwmaoni #dwkiswahili #syria
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: