Fahamu biashara ya vipodozi asili vya Comoro
Автор: BBC News Swahili
Загружено: 2022-07-26
Просмотров: 10772
Описание:
Kwa miongo mingi, wanawake wa kisiwa cha Comoro wamekuwa wakitengeneza vipodozi asilia kwa kutumia miti kama ya mlangi langi na msandali.
Vipodozi hivyo vinaweza kutumika kwa ajili ya sherehe maalum au hata siku za kawaida.
Mtu anaweza kupaka kwenye uso mzima au katika baadhi ya sehemu za uso.
#bbcswahili #biashara #comoro #ujasiriamali #vipodozi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: