HOJA MEZANI || Ufaulu wa somo la hesabu kidato cha nne 2023
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-01-29
Просмотров: 108
Описание:
Necta imetangaza matokeo ya kidato cha nne na ufaulu ukiongezeka kwa asilimia 0.87, huku kiwango cha ufaulu wa somo la hisabati ukipanda kuliko masomo yote japo somo hilo likiwa bado la mwisho katika ufaulu wa jumla.
Ungana na wachambuzi kufahamu zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: