Meza ya Duara: Uchaguzi wa Tanzania 2025 una msisimko na ushindani? | DW Kiswahili
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 89235
Описание: Kipindi cha Maoni mbele ya Meza ya Duara kinajadili hatma ya siasa za ushindani na demokrasia nchini Tanzania wakati taifa hilo linajiandaa kwa uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu. Chama kikuu cha upinzani CHADEMA hakishiriki na mgombea urais wa ACT-Wazalendo ameidhinishwa kwa kuchelewa. Rashid Chilumba amewaalika wadau wa siasa za Tanzania. Je, uchaguzi huo una msisimko?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: