Kuteswa Kwake Bwana Kulinipa Wokovu | Sauti Tamu Melodies | Nyimbo za kwaresma | Lent songs
Автор: Sauti Tamu
Загружено: 2022-03-01
Просмотров: 586706
Описание:
Kuteswa kwake Bwana kulinipa wokovu, siachi kumwimbia pote niendapo
Aliyeniokoa ni Yesu, aliyevumilia mateso, aliyemwaga damu mtini ndiye Bwana wangu
#SautiTamu #kwayakatoliki
Fuatilia nyimbo za kipindi cha Kwaresma, nyimbo za njia ya msalaba (way of the cross) nyimbo za jumatano ya majivu (Ash Wednesday Catholic Songs/ lent songs) katika channel hii.
umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki
Kinanda kimechezwa na Gabriel C Mkude Sekulu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: