SERIKALI KUJENGA VYUO VIPYA 65 vya VETA KULETA FURSA kwa VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI -IUCEA YAPONGEZA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 74
Описание:
SERIKALI KUJENGA VYUO VIPYA 65 vya VETA KULETA FURSA kwa VIJANA KUJIKWAMUA KIUCHUMI -IUCEA YAPONGEZA
@DENIS DEUS - BUKOBA
CC; BAKARI MAHUNDU
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini, imejipanga kuendelea kujenga vyuo vipya vya VETA 65 kote nchini na kuanzisha mafunzo maalumu kwa wajasiriamali wadogo ili kuwajengea uwezo wa kutumia vyema fursa za biashara na kujikwamua kiuchumi pamoja na kukuza mitaji yao.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: