utaratibu wa kusitisha mikataba ya ajira / PART 01
Автор: Shellabeach Attorneys
Загружено: 2024-10-24
Просмотров: 336
Описание:
Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini, Sura Na. 366 ya mwaka 2004, pamoja na Kanuni za Ajira na Mahusiano kazini (Kanuni za Utendaji Bora), za mwaka 2007. Sheria hizi mbili zinatoa mwongozo wa mahusiano kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Mkataba baina ya mwajiri na mwajiriwa hutumika kama uthibitisho kisheria wa uhusiano kati yao
Mikataba hii ipo kisheria na hata usitishwaji wake huzingatia taratibu na kanuni zilizowekwa kisheria.
Kutokana na changamoto mbalimbali waajiri wengi husitisha mikataba bila kuzingatia taratibu za kisheria za usitishaji wa mikataba hiyo.
Hivyo basi, katika sehemu ya kwanza ya kipindi hiki tutaangazia usitishwaji wa mikataba ya ajira kati ya mwajiri na mwajiriwa.
Connect with us through
instagram; @ShellabeachAttorneys
facebook @ShellabeachAttorneys
contacts (mawasiliano); +255657927351
SHELLABEACH ATTORNEYS
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: