ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA

Автор: ViwandaBiashara TV

Загружено: 2022-01-21

Просмотров: 2401

Описание: Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashantu Kijaji (Mb) amesema Serikali imeanzisha Kongani ya Viwanda Dodoma itakayokuwa na viwanda vitakavyotumia malighafi zinazozalishwa hapa nchini, ikiwa ni utekelezaji wa maelekezo ya   Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika uanzishaji wa kongani za viwanda.

Dkt Kijaji ameyasema hayo katika Hafla fupi ya makabidhiano ya eneo maalum la uwekezaji (SEZ) lenye ukubwa wa hekari 1500 katika eneo la viwanda Nala lililotolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji na Mauzo ya Nje (EPZA), iliyofanyika jijini Dodoma Januari 20, 2022.

"Kongani hii  itumike kuhudumia Kanda ya kati kwa kuwa na  viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo hususan Alizeti inayolimwa Dodoma, Singida na Simiyu ili kuwa na mafuta ya kula ya kutosha mahitaji ya ndani na  kuuza nje ya nchi na kutumia Reli ya Kisasa ya SGR kwa kusafirisha mizigo kwenda masoko ya nje ya nchi." Amesema Waziri Kijaji.

Waziri Kijaji pia amezielekeza Taasisi za EPZA na TIC kushirikiana na Sekta Binafsi pamoja na Uongozi wa Mkoa wa Dodoma ili kuhakikisha kongani hiyo inaendelezwa kwa wakati ili kutimiza malengo ya Serikali ya Awamu ya Sita katika uanzishaji, uendelezaji na uwekezaji wa kongani za viwanda nchini.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Antony Mtaka amebainisha Maeneo ya EPZA yanavutia wawekezaji hivyo Ofisi yake iko tayari kushirikiana na Wizara katika kuhakikisha miundombinu muhimu kama Maji, Umeme na Barabara inapatikana ili kukamilisha ujenzi wa kongani hiyo kwa wakati na kuvutia wawekezaji  na hivyo kuleta maendeleo katika mkoa huo na kwa Taifa.

Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara  Prof.Godius Kahyarara amesema ni muhimu EPZA kutenga maeneo ya kongani za kiuchumi  zenye hadhi ya kimataifa kwa kuzingatia wawekezaji wadogo zinazolenga kutoa ajira nyingi ili kutimiza Malengo ya Serikali katika kuongeza ajira na pato la Taifa.

" EPZA tengeni kongani maalum kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya uzalishaji bidhaa za ujenzi ili kutosheleza mahitaji ya vifaa hivyo nchini ili tusiwe  tunaagiza vifaa hivyo kutoka nje ya nchi. 

Awali akiongea, Mkurugenzi Mkuu wa EPZA Bw. Charles Itembe amesema eneo hilo lililotengwa linatarajiwa kuwa kitivo maalumu cha uwekezaji katika nyanja mbali mbali kama vile  ununuzi,usafirishaji, kilimo, ujenzi, madinj, nguo na madawa na litatoa ajira takriban 100,000.

Naye, Afisa Mipango wa mkoa wa Dodoma amebainisha kuwa Mkoa umetenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa viwanda ambapo katika eneo la Nala hekari 2285 ambapo hadi sasa hekari 300 zimegawiwa kwa wawekezaji wa nje, 1500 kwa EPZA, na 21 kwa wawekezaji wazawa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KONGANI YA VIWANDA KUJENGWA DODOMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Utekelezaji wa Mradi wa HEET na Hii Ndiyo UDOM

Utekelezaji wa Mradi wa HEET na Hii Ndiyo UDOM

TUKIO KWENYE TUME YA UCHUNGUZI, AZOMEWA TARIME BAADA YA KUMTUHUMU HECHE

TUKIO KWENYE TUME YA UCHUNGUZI, AZOMEWA TARIME BAADA YA KUMTUHUMU HECHE

BARABARA YA ZEGE BORA DUNIANI YAPATIKANA LUDEWA DC

BARABARA YA ZEGE BORA DUNIANI YAPATIKANA LUDEWA DC

TAZAMA KIWANDA CHA PILI AFRIKA KINACHOZALISHA SARUJI NYEUPE NA CHA KWANZA UKANDA WA JANGWA LA SAHARA

TAZAMA KIWANDA CHA PILI AFRIKA KINACHOZALISHA SARUJI NYEUPE NA CHA KWANZA UKANDA WA JANGWA LA SAHARA

MJASIRIAMALI HUYU ALIANZIA CHINI NA SASA ANAMILIKI KIWANDA CHA KUTENGENEZA SABUNI KWA MSAADA WA SIDO

MJASIRIAMALI HUYU ALIANZIA CHINI NA SASA ANAMILIKI KIWANDA CHA KUTENGENEZA SABUNI KWA MSAADA WA SIDO

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU

LEMA Asimulia GWAJIMA ALIVYOMWAMBIA LISSU "Usiende Dodoma, Utapigwa RISASI"

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Ludewa ya Utalii

Ludewa ya Utalii

Fahamu kuhusu Mradi wa Makaa ya Mawe, Mchuchuma

Fahamu kuhusu Mradi wa Makaa ya Mawe, Mchuchuma

NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

NEEMA YAWATEMBELEA WAMAASAI || KULIPWA FIDIA MRADI WA MAGADI SODA ENGARUKA

HII ITAKUWA NI INDUSTRIAL PARK YAKWANZA AFRIKA NZIMA

HII ITAKUWA NI INDUSTRIAL PARK YAKWANZA AFRIKA NZIMA

SERIKALI  imetoa wiki tatu TANESCO kupeleka Transfoma katika Kiwanda cha Lodhia.

SERIKALI imetoa wiki tatu TANESCO kupeleka Transfoma katika Kiwanda cha Lodhia.

WASIFU WA MAREHEMU PADRE MICHAEL GAULA WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA.

WASIFU WA MAREHEMU PADRE MICHAEL GAULA WA JIMBO KUU KATOLIKI LA DODOMA.

"...kwakweli tumeona mafanikio makubwa sekta ya Viwanda na Biashara...." Mhe. Kapinga

🔴LIVE: MHE. JUDITH KAPINGA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MIRADI YA MAENDELEO

🔴LIVE: MHE. JUDITH KAPINGA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MIRADI YA MAENDELEO

RAIS SAMIA Akimbembeleza MKE wa HAYATI MAGUFULI -DODOMA

RAIS SAMIA Akimbembeleza MKE wa HAYATI MAGUFULI -DODOMA

DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE

DP WORLD YAFUATA FURSA ZA UWEKEZAJI MKOANI NJOMBE

Bilioni 14 kuendeleza mradi wa magadi soda Engaruka-Monduli, Waziri Jafo atoa neno mkutanoni...

Bilioni 14 kuendeleza mradi wa magadi soda Engaruka-Monduli, Waziri Jafo atoa neno mkutanoni...

JESCA MAGUFULI ATINGA BUNGENI KUJISAJILI - ZOEZI la WABUNGE KUJISAJILI LIKIENDELEA DODOMA...

JESCA MAGUFULI ATINGA BUNGENI KUJISAJILI - ZOEZI la WABUNGE KUJISAJILI LIKIENDELEA DODOMA...

SHUHUDIA NDEGE ILIYOWABEBA TAIFA STARS ILIVYOTUA DAR BAADA YA KUTOLEWA AFCON 2025, GAMONDI AFUNGUKA!

SHUHUDIA NDEGE ILIYOWABEBA TAIFA STARS ILIVYOTUA DAR BAADA YA KUTOLEWA AFCON 2025, GAMONDI AFUNGUKA!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]