WAZIRI GWAJIMA-"KITETE NI KARIBU NA DODOMA SAA 3 TUTAKUJA",HOSPITALI ZA RUFAA ZAPEWA MAAGIZO
Автор: Cg Online Tv
Загружено: 2021-11-27
Просмотров: 244
Описание:
#CgOnlineTv #WaziriWaAfya #WaziriGwajima
Dkt. Gwajima aziagiza hospitali zote za Rufaa za mikoa kuwa na kuunda Kamati dawa, kamati fedha, kamati ya ubora wa huduma na kamati ya damu ili kuongeza ufanisi katika utendaji katika vituo vyote vya kutolea huduma za afya nchini.
Dkt. Gwajima amesema hayo Novemba 27 alipofanya ziara ya kukagua hali ya utoaji huduma na kuongea na watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: