Congo 1-1 Tanzania | Kocha Hemed Morocco aeleza kilichoinyima ushindi Taifa Stars
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-09-05
Просмотров: 31199
Описание:
#KufuzuKombeLaDunia “….hatukucheza vizuri kama tulivyotarajia….”
Neno kutoka kwa Kocha Hemed Morocco baada ya mechi akieleza sababu za kutopata ushindi kwenye mchezo wa leo “…Congo walikuwa hawatupi nafasi”
Kuelekea mchezo ujao, Kocha Morocco anasema watakuwa na siku kadhaa za kurekebisha kilichoonekana leo na matumaini ya ushindi ni makubwa…
FT: Congo 1-1 Tanzania
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: