GWAJIMA AZINDUA MPANGO WA KUTOKOMEZA UKEKETAJI
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2026-02-13
Просмотров: 177
Описание:
#HABARI: Kituo cha Huduma ya Simu kwa Mtoto (C-Sema), kupitia ufadhili wa UNFPA, kimeshiriki katika uzinduzi wa mpango wa kitaifa wa kutokomeza ukeketaji na mila zilizopitwa na wakati nchini.
Mratibu wa Miradi wa C-Sema, Jeni Haule, amebainisha kuwa mpango huo unalenga kuelimisha jamii juu ya madhara ya ukeketaji na kuimarisha ulinzi wa haki za watoto wa kike na wanawake ambao ndio waathirika wakuu wa vitendo hivyo vya ukatili.
Akizindua mpango huo shirikishi, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesisitiza kuwa serikali imejipanga kuwakamata wote wanaojihusisha na ukeketaji, wakiwemo mangariba na viongozi wa mila.
Mpango huo mpya unaleta mkakati madhubuti wa kuunganisha nguvu za wadau na wananchi ili kumlinda mtoto wa kike na kuhakikisha mila hizo kandamizi zinatokomea kabisa katika jamii.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: