ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Ubunifu wa Benki ya Mkombozi kuwahudumia wajasiriamali wadogowadogo wazaa matunda

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2023-06-26

Просмотров: 143

Описание: Benki ya Biashara Mkombozi ilitangaza faida ya Sh 6.79 bilioni kwa mwaka 2022, ambayo ni matokeo mazuri ukilininganisha na kipindi cha nyuma. Benki iliweza kupunguza mikopo chechefu kutoka asilimia 20 mwaka 2020 hadi asilimia 9 kwa mwaka 2022, ikiwa ni kati ya mafanikio makubwa katika kipindi hicho. Thamani za Benki zilikuua kutoa Sh 210 bilioni hadi sh 221 billioni kwa mwaka 2022.

Mafanikio haya yalichangiwa na uimarishaji wa vyanzo vya mapato, kuainisha gharama za uendeshaji wa Benki kwa kuweka mikakati ya kupunguza gharama zisizo na msingi na pia kuthamini muundo wa biashara kwa kuwekeza kwenye huduma za kidigitali ambazo ni Mkombozi Mobile, Internet Banking na Mkombozi Wakala. Benki kwa sasa ina mawakala zaidi ya 400 nchini.

Katika mahojiano na Mwananchi Digital, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Mkombozi, Bw. Respige Kimati, ilieleza namna ubunifu wa kuwahudumia wajasiriamali wadogowadogo ulivyozaa matunda.
Amesema mafanikio hayo yanaashiria dhamira yao ya kutambua na kuhudumia kundi kubwa la watanzania walioinje ya mfumo rasmi wa kifedha.

Amesema wamefanikiwa kubuni programu za kidigitali, lengo likiwa ni kuwafikia wateja wengi zaidi hususan wa chini kabisa, kupanua huduma zaidi kwa kuongeza matawi mapya maeneo tofauti nchini. “Benki ya Mkombozi itajikita katika kuwapa wajisiriamali wa kati na wa chini mikopo inayoendana na mazingira yao halisi ili kukuza biashara na uwezo wa kila mmoja,” amesema Bwana Kimati.

Amesema wanatoa mikopo kwa wajasiriamali waliopo kwenye vikundi ambao wana uwezo wa kukopeshwa kuanzia kiasi cha Sh300,000 hadi Sh4 milioni na kwamba hadi kufikia mwishoni mwa mwaka jana, benki hiyo ilikuwa imeshatoa kiasi cha Sh5.8 bilioni. Kwa ujumla, Benki ya Mkombozi ilitoa kiasi cha Sh115 bilioni kama mikopo mwaka jana, ikiwa ni ongezeko kutoka Sh106 bilioni.

Aidha Kimati amesisitiza umuhimu wa kuweka mazingira bora ya kisera kama vile utoaji wa leseni ili kuwavutia wajasiriamali wengi kuingia katika mfumo rasmi. Amesema Benki ya Mkombozi itazidi kutoa mafunzo mbalimbali kuinua uwezo wa wateja wake kuendesha biashara yao kwa ufanisi.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Ubunifu wa Benki ya Mkombozi kuwahudumia wajasiriamali wadogowadogo wazaa matunda

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Why Tanzania must rebuild trust after October 29 violence

Why Tanzania must rebuild trust after October 29 violence

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Lesson Learned: Mississippi’s Surprising Success in Public Education | Amanpour and Company

Lesson Learned: Mississippi’s Surprising Success in Public Education | Amanpour and Company

🔴 LIVE: WAZIRI MKUU ANAZINDUA MELI YA MV MWANZA

🔴 LIVE: WAZIRI MKUU ANAZINDUA MELI YA MV MWANZA

Mwenyekiti asimulia namna mtuhumiwa wa mauaji alivyompigia simu kufika eneo la tukio

Mwenyekiti asimulia namna mtuhumiwa wa mauaji alivyompigia simu kufika eneo la tukio

🔴#LIVE: WAZEE WANATOA MAAZIMIO YAO JUU YA KILICHOTOKEA TAREHE 29 OCT

🔴#LIVE: WAZEE WANATOA MAAZIMIO YAO JUU YA KILICHOTOKEA TAREHE 29 OCT

🔴LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA ANAZINDUA MELI YA MV MWANZA

🔴LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU NCHEMBA ANAZINDUA MELI YA MV MWANZA

T: Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki chumbani Moshi

T: Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki chumbani Moshi

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU AFANYA ZIARA ya KUSHTUKIZA KITUO cha UTAFUTAJI na UOKOZI MWANZA..

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU MWIGULU AFANYA ZIARA ya KUSHTUKIZA KITUO cha UTAFUTAJI na UOKOZI MWANZA..

💥МИЛОВ: В Москве ЛЮТАЯ ИСТЕРИКА: бизнес МАССОВО закрывается! Набиуллина БЬЕТ ТРЕВОГУ @Майкл Наки

💥МИЛОВ: В Москве ЛЮТАЯ ИСТЕРИКА: бизнес МАССОВО закрывается! Набиуллина БЬЕТ ТРЕВОГУ @Майкл Наки

"30% mieszkańców nie włączy ogrzewania” — oszczędność czy energetyczna bieda?

Исторический Давос 2026. Михаил Касьянов

Исторический Давос 2026. Михаил Касьянов

🔴🅻🅸🆅🅴: WAZIRI MKUU ANAZINDUA MELI MPYA YA MV. NEW MWANZA

🔴🅻🅸🆅🅴: WAZIRI MKUU ANAZINDUA MELI MPYA YA MV. NEW MWANZA

FULL VIDEO KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA CHANG'OMBE ILIVYOFANYA MAAJABU TAMASHA LA MAVUNO CHANG'OMBE

FULL VIDEO KWAYA YA MT. ALOIS GONZAGA CHANG'OMBE ILIVYOFANYA MAAJABU TAMASHA LA MAVUNO CHANG'OMBE

⚡️ПОНЕСЛАСЬ! ОГОНЬ ИЗ МОЛДОВЫ! ЭТОТ УДАР ПЕРЕВЕРНУЛ ВСЕ! ПУТИН ПОЛУЧИЛ ПО ЗАСЛУГАМ! ПОДРОБНОСТИ!

⚡️ПОНЕСЛАСЬ! ОГОНЬ ИЗ МОЛДОВЫ! ЭТОТ УДАР ПЕРЕВЕРНУЛ ВСЕ! ПУТИН ПОЛУЧИЛ ПО ЗАСЛУГАМ! ПОДРОБНОСТИ!

𝐌𝐀𝐑𝐔𝐃𝐈𝐎😭𝐌𝐀𝐙𝐈𝐊𝐎 𝐲𝐚 𝐌𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 𝐇𝐀𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐍𝐀𝐒𝐒𝐎𝐑- MWILI ULIVYOWASILI NYUMBANI KWAKE- HADI MAKABURINI KUZIKWA

𝐌𝐀𝐑𝐔𝐃𝐈𝐎😭𝐌𝐀𝐙𝐈𝐊𝐎 𝐲𝐚 𝐌𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄 𝐇𝐀𝐋𝐈𝐌𝐀 𝐍𝐀𝐒𝐒𝐎𝐑- MWILI ULIVYOWASILI NYUMBANI KWAKE- HADI MAKABURINI KUZIKWA

Հայլուր 18։30 Խեղճ ժողովուրդ, խիզախ պաշտոնյաներ. ընտրողները չեն ներում «արդար» պարգևավճարները

Հայլուր 18։30 Խեղճ ժողովուրդ, խիզախ պաշտոնյաներ. ընտրողները չեն ներում «արդար» պարգևավճարները

КТК под ударом: кому выгодно обрушить экспорт нефти Казахстана? - Каринэ Геворгян

КТК под ударом: кому выгодно обрушить экспорт нефти Казахстана? - Каринэ Геворгян

Polisi yawatawanya wachimbaji wadogo kwa mabomu ya machozi

Polisi yawatawanya wachimbaji wadogo kwa mabomu ya machozi

Путин больше не главный злодей. И в этом его проблема | Разборы

Путин больше не главный злодей. И в этом его проблема | Разборы

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]