Booster za Asili za Kuku 💪 Zinaongeza Uzito na Mayai Haraka - kingofarm tunazitumia
Автор: KingoFarm
Загружено: 2025-09-25
Просмотров: 2132
Описание:
👉 Je, unataka kuku wako wakue haraka na kuongeza uzito bila gharama kubwa?
👉 Au unataka kuku wa mayai (layers na chotara) watage mayai mengi zaidi?
Katika video hii, KingoFarm tunakufundisha booster bora za asili ambazo unaweza kutumia mara kwa mara kuongeza uzito wa broiler na kuongeza mayai kwa layers.
Zinapatikana kirahisi, ni salama kwa kuku na hazina madhara.
✅ Tangawizi
✅ Kitunguu saumu
✅ Mlonge (Moringa)
✅ Aloe vera
✅ Mchanganyiko wa sukari na chumvi
💡 Ukiziunganisha vizuri na kuzipa mara kwa mara, kuku wako watakua wenye afya, watakuwa wakubwa kwa haraka, na mayai yataongezeka.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: