Palipo na Pendo By Uweponi Injili
Автор: Uweponi
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 323
Описание:
Amri kuu nawapeni, enyi Wakristo
Pendaneni, kama Kristo alipendavyo kanisa
Pasiwe na chuki, wala vita
Bali pendo lake litawale
Verse 1:
Kwa kuwa mmekuwa wateule,
Jivikeni moyo wa rehema,
Utu wema na unyenyekevu
Chukulianeni mizigo,
Na amani ya Kristo, Iwe juu yenu
Fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu
Chorus:
Pendo, Pendo,
Pendo la Kristo,
Pendo la Agape,
Dumuni katika Pendo
Hakuna vita,
Palipo na Pendo
Pana Amani
Palipo na Pendo
Dumuni katika Pendo
Verse 2:
Vaeni silaha za BWANA,
Mkamkabili yule mwovu,
Anayejaribu kuwatenganisha,
Imarikeni katika Neno la Mungu,
Mtayashinda majaribu ya mwovu,
Ongezekeni katika Imani,
Mkaujenge ushirika na roho mtakatifu
Chorus:
Pendo, Pendo,
Pendo la Kristo,
Pendo la Agape,
Dumuni katika Pendo
Hakuna vita,
Palipo na Pendo
Pana Amani
Palipo na Pendo
Dumuni katika Pendo
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: