16/99 | MAOMBI YA SAA 9 | MWL MUSSA MUSSA | 05 March, 2026
Автор: Chakula TV
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 890
Описание:
MAOMBI YANAYOVUNJA HISTORIA MBAYA KWA HURUMA YA MUNGU
16/99
“Akaondoka, akaenda kwa babaye. Alipokuwa angali mbali, baba yake alimwona, akamwonea huruma, akaenda mbio akamwangukia shingoni, akambusu sana.
”
— Luka 15:20
HISTORIA MBAYA YA MWANA MPOTEVU
✓Ukahaba
✓Kutapanya Mali
✓Utumwa
✓Njaa na uhitaji
✓Kupoteza Heshima
Huruma ya Mungu inafuta historia mbaya
1 .
📖 Zaburi 51:1
“Ee Mungu, unirehemu kwa fadhili zako.”
🙏 Nioshe, futa makosa yangu, anza ukurasa mpya.
2.
Maombolezo 3:22
“Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii.”
🙏 Bwana, kwa huruma yako, nisiangamie kwa sababu ya historia yangu.
3.
📖 Zaburi 40:2
“Alinitoa katika shimo la uharibifu.”
🙏 Nitoe kwenye shimo la historia mbaya, niweke juu ya mwamba.
4.
2 Wakorintho 5:17
“Ya kale yamepita; tazama! yamekuwa mapya.”
🙏 Kwa huruma yako, nifanye kiumbe kipya kabisa.
5 .
📖 Zaburi 23:6
“Fadhili na rehema zitanifuata siku zote za maisha yangu.”
🙏 Tangaza juu yangu: historia mpya, mwanzo mpya, ushuhuda mpya!
TAMKO LA IMANI :
“Kwa huruma ya Mungu, historia yangu ya zamani haiwezi kunifunga tena!
Chakula Tv & Radio
+255 764 444 900
+255 655 444 900
/ mwl_mussa_mussa
/ chakulatv
/ @chakulatvofficial
#WapeniNinyiChakula
#ChakulaTv
#MwlMussaMussa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: