Ruto amteua Ida Odinga kuwa balozi wa Kenya katika UNEP
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 13867
Описание: Rais William Ruto amemteuwa mjane wa waziri mkuu wa zamani hayati raila Odinga Ida Odinga kuwa balozi wa kenya katika shirika la mazingira la umoja wa mataifa UNEP, akimsifia kwa uzalendo na uchapakazi wake. Rais Ruto alisema Mama Ida ameonyesha ukakamavu tangu alipokuwa mwalimu katika shule kadhaa za upili nchini na baadaye katika nafasi kadhaa za usimamizi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: