Hatari! Kimbunga HIDAYA kilivyoipiga Mafia, Miti mkubwa, mikorosho yaangushwa
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2024-05-04
Просмотров: 47986
Описание: Wananchi wa Kisiwa cha Mafia ni miongoni waliopatwa na majanga ya Kimbunga Hidaya kilichotikisa kuanzia jana usiku na kudumu kwa saa kadhaa hadi leo Jumamosi, Mei 4, 2024. Upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa umesababisha mafuriko, miti mikubwa ikiwamo mikorosho na minazi kudondoka kwenye makazi ya watu usiku wa manani. Tazama hali ilivyokuwa kwenye baadhi ya maeneo kisiwani Mafia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: