POLISI WADAIWA KUMUUA RAIA TARIME-ASKARI RUFIJI ALIYEMPIGA RISASI SHABAN na KUMUUA UCHUNGUZI UMEANZA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-08
Просмотров: 2910
Описание:
POLISI WADAIWA KUMUUA RAIA TARIME-ASKARI RUFIJI ALIYEMPIGA RISASI SHABAN na KUMUUA UCHUNGUZI UMEANZA
Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea tarehe 1.1.2026 huko katika Hospitali ya Wilaya ya Tarime. Baada ya kutokea kifo hicho, Jeshi la Polisi limepokea barua ya malalamiko kuwa, kifo hicho hakikutokana na Dickson Tadeus Joseph (marehemu) kuanguka katika eneo la Mtaa wa Serengeti wakati akikimbia kama ilivyo elezwa awali bali kimesabababishwa na Askari Polisi.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: