Daktari Iqbal Khandwalla alaumiwa kwa utepetevu wa uongozi wa Coast General
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 4159
Описание: Mvutano umeibuka kati ya serikali ya kaunti ya mombasa na madaktari kufuatia kusimamishwa kazi kwa afisa mkuu wa hospitali ya coast general iqbal khandwalla. Huku madaktari wakitishia mgomo, kaunti ya mombasa imepuuza siasa katika kusimamishwa kwake kazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: