KENYA VISION 2030 ( A MUST WATCH FOR GEN ZII )
Автор: KAIZARI
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 54
Описание:
"Jukumu langu kama Kaizari wenu ni kuwatoa Waafrika kwa Umaskini na kuwafikisha kwa Utajiri.Hiyo ndio kazi niliyopewa na Mungu hapa Duniani.
Masharti ya Kwanza:
1. Waafrika tuungane. ( Himaya ya Afrika )
2. Kiswahili ndio lugha la taifa la Himaya ya Afrika.
3. Ushuruzote zitakazo tozwa ni 10% pekee . huakuna kutoza zaidi ya 10%
4. Sehemu za uma za Maji, Umeme, Mtandao, Usafiri wa Hewa, Maji , Arthi na Mbinguni ushuru ni 0% ( hazitozwi ushuru ) ( Na zitasambazwa na au kushugulikiwa na kusimamiwa na wanajeshishi pekee ).
Amani iwe nanyi."
KAIZARI AMENENA.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: