FAIDA 17 ZA MAJANI YA MPERA KIAFYA
Автор: SukaMedia
Загружено: 2024-03-04
Просмотров: 138052
Описание:
Mapera ni matunda ya msimu yenye wingi wa vitamini A na C, madini ya potasiam,nyuzi na 'lycophene' vyote hivi ni muhimu kwa afya.
Watu wengi hutumia tunda tu pasipokujua si tunda pekee lenye manufaa kwa afya. Majani ya mpera ni mazuri kwa ajili ya ngozi, nywele na afya kwa ujumla.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: