# 60. MAKHARIJUL HURUF: HERUFI LAM NA MIM / IJUE QUR'AAN TUKUFU NA / SHEIKH SAIDI ATHUMANI
Автор: Kishki Online TV
Загружено: 2026-03-13
Просмотров: 47
Описание: Asalaama Aleykum ndugu zangu katika Imaan tunawaletea kipindi cha Ijue Qur'aan na leo tunazugumzia Makhariji hurufi sehemu ya Pili herufi Lam na Mim , Kipindi hiki kitakuwa kinakuijia kila siku kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Afrika ya Mashariki, kitaletwa kwenu na Sheikh Said Athumani Mketo, Inshaallah usiko kufatilia ili uweze kujifunza Qur'aan na mengine mengi ndani ya dini yako na Kishki Tv Online.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: