NDOTO 5 ZINA KUFICHULIA KIINI CHA SHIDA ZAKO ll WITH REV PETER NJIHIA ll NDOTO TV LIVE
Автор: NDOTO TV OFFICIAL ( REV PETER NJIHIA )
Загружено: 2025-12-06
Просмотров: 271
Описание:
Hii ni ibaada ya kuleta utofauti katika kila sekta ya maisha yako na kwa njia ya kipekee kwa familia. Leo ninavunja laana za kila aina kwa familia yako.
Tafsiri ya ndoto yako ni uhuru wako. Jiunge nami sasa hiv ninapo kutafsria ndoto yako , huu ndio mwanzo wa mambo mapya maishani mwako, kwa familia, biashara , kazini, kifedha na katika kila eneo la maisha yako.
Ndoto zako si mashambulizi, mbali ni ufunuo wa matukio kwa maisha yako. Jiunge nasi kwenye NDOTO TV, tuma ndoto yako kama ujumbe kwa whatsapp no. +254706945821
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: