ODM yamtetea Oburu, wanasiasa wasifia ushirikiano na serikali
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 1166
Описание: Viongozi wa ODM wanaomuunga mkono Oburu Oginga wameendeleza siasa za kutetea ushirikiano wao na serikali wakisema wanasimama na Rais William Ruto hadi debeni mwakani. Kwenye mikutano katika kaunti za Kisumu na Migori, wanasiasa wa ODM wakiongozwa na mwenyekiti Gladys Wanga wakiwakosoa wenzao waliowataja kuwa waasi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: