Скачать
Mhe Hasunga abainisha mafanikio ya zao la Kahawa, Uzalishaji wapaa, Trilioni 1.1 zawafikia wakulima
Автор: Wazohuru Media
Загружено: 2020-04-27
Просмотров: 150
Описание: Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga amebainisha kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli sekta ya kahawa imeongeza uzalishaji na kufikia Tani 214,962 huku kiasi cha Trilioni 1.195 zikiwa zimewafikia wakulima
Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: